MKUTANO WA MHESHIMIWA WAZIRI NA WAFANYAKAZI WA ZECO
Waziri wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini Mheshimiwa Shaib Hassan Kaduara (ambae hayupo pichani) akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) wakati wa mkutano wa kila mwaka wa kuzungumza na wafanyakazi hao.