USAMBAZAJI UMEME MAENEO YA KILIMO KANGAGANI PEMBA
Waziri wa Mji, Nishati na Madini Mheshimiwa Shaibu Hassan Kaduara ametembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa usambazaji umeme katika mashamba ya kilimo Kangagani kisiwani Pemba.
Kufika kwa huduma ya umeme katika mashamba hayo, yataongeza fursa za ajira kwa wakaazi wa maeneo hayo na kukuza kipato cha mtu mmoja mmjoa na Nchi kwa ujumla.