Zanzibar Electricity Corporation (ZECO)

TAARIFA KWA UMMA

18 April 2019

Shirika la Umeme Zanzibar katika hatua ya kuimarisha utendaji kazi wa miundombinu yake ya kusambaza umeme inatarajia kufanya matengenezo ya Transfoma zake mbili kubwa ziliopo katika kituo cha Umeme Mtoni Zanzibar. Matengenezo hayo yanatarajiwa kufanywa kwa siku ya Jumamosi tarehe 20/04/2019 na Jumapili tarehe 21/04/2019, hivyo kutakuwepo na uzimaji wa...

mgao wa umeme

17 March 2019

Shirika la umeme linatangazia mgao wa umeme katika kisiwa cha Unguja unaotokana na matengenezo yanayoendelea huko Tanzania bara.Kupata ratiba ya mgao tafadhali bonyeza hapa

Watakaofichua wizi wa Umeme Kupewa donge nono

04 April 2017

WANANCHI wa Kilombero Mkoa Kaskazini Unguja wameahidiwa kupewa zawadi ya fedha taslim kwa yeyote atakayeweza kufichua wizi wa umeme. Akizungumza na wananchi wa Shehia hiyo katika mkutano wa kutoa elimu ya umeme Afisa huduma za wateja kutoka Shirika la Umeme Zanzibar Bwana Faina Idarous Faina amesema kuwa wananchi wasiowaaminifu wamekua...

Zanzibar yakaribia kupata umeme wake

04 April 2017

JITIHADA za upatikanaji wa umeme mbadala Zanzibar zimeanza kuleta matumaini kufuatia matokeo mazuri yaliyoweza kupatikana kupitia utafiti wa awali. Akizungumza na wandishi wa habari katika ziara ya kutembelea miundo mbinu ya umeme na vyanzo vya utafiti wa nishati ya umeme mbadala, meneja wa mradi wa umeme mbadala Zanzibar ndugu Maulid...

Hujuma za umeme bado ni kikwazo ZECO

17 March 2017

IMEELEZWA kuwa kuwepo kwa tatizo la ukataji miti na wizi wa umeme ni miongoni mwa changamoto zinazolikabili Shirika la Umeme Zanzibar katika uimarishaji wake wa huduma mbali mbali. Akieleza hayo katika mkutano wa utoaji elimu inayohusu umeme kwa masheha wa Wilaya ya Kati Unguja, Afisa Uhusiano wa Shirika la Umeme...

Other alternative sources of power are the panacea for power blackout in Zanzibar

26 March 2016

The Revolutionary Government of Zanzibar said the intention to look for other alternative sources of power is to enhance power security in Zanzibar for economical and social welfare of the peoples. Furthermore, alternative sources of power is inevitable due to the fact that Zanzibar depends only on single source of...

Dr. Shein assures reliable electricity at Pemba

24 November 2015

The president of Zanzibar and chairman of Revolution Council of Zanzibar, Dr. Ali Mohammed Shein has promised Pemba residents reliable and affordable electricity during other term of reign. The president of Zanzibar and chairman of Revolution Council of Zanzibar, Dr. Ali Mohammed Shein has promised Pemba residents reliable and affordable...

View

How to get electricity

Getting connected to electricity is simple. You just need to follow few steps and you are good to brighten your place!

View

Home Users

Domestic customers and small business enterprises with minimal electricity use are categorized as life line tariff Z0 and Z1. 

View

Small Business

This segment is mainly composed of small industries and comprises of customers exceed 1,500 up to 5,000 units per month. 

View

Large Business

Basically this is a group of customers operating industrial machinery or mega lighting projects.