Kazi za Shirika

Shirika la Umeme (ZECO) lina kazi zifuatazo:

  • Kufanya kazi za kuzalisha, kusambaza na kugawa umeme kwa watumiaji wa Zanzibar
  • Kufanya tafiti za upatikanaji mpya wa uzalishaji na usambazaji umeme ndani ya Zanzibar
  • Kujenga na kuvuta laini za umeme
  • Kuingia mkataba na taasisi, jamii au mtu yeyote kwa ajili ya ununuzi wa umeme na kuusambaza kwa jamii
  • Kuingia makubaliano ya kununua umeme kwa wingi kutoka kwa wazalishaji huru wa umeme ikiwa ni ndani au nje ya nchi kwa lengo la kuuza kwa wateja.
  • Kufanya kazi zote za uunganishaji umeme na nyenginezo ambazo zinazoweza kujitokeza na endapo kama zitakuwa na faida kwa Shirika
  • Kutoa elimu ya umeme kwa wananchi wa Zanzibar