Kituo cha kupiga simu kwa wateja

Shirika la Umeme la Zanzibar (ZECO) siku zote liko mbioni kuhakikisha linaleta karibu huduma zake kwa wateja wetu wapenzi. Ili kufanikisha lengo hili, tumeweza kuweka vitu vingi Unguja na Pemba ambapo maombi, maoni, na taarifa zote zinazohusu huduma zote zinapatikana moja kwa moja. Unaweza kutembelea kituo kilicho karibu nawe au kuwasiliana nao kwa njia ya simu kwa nambari zifuatazo.

Makao Makuu

Anuani: Guluioni, Zanzibar

Simu: +255 24 22 30232 / +255 24 22 32101 / +255 772 877 879

Ofisi ya Zoni ya Kaskazini Unguja

Anuani: Gamba

Simu: +255 774 236 212

Ofisi ya Zoni ya Kusini Unguja

Anuani: Makunduchi

Simu: +255 773 897 736 

Ofisi ya Tawi la Pemba

Anuani: Tibirinzi, Chake Chake

Simu: +255 24 24 52259 / +255 777 612 233

Ofisi ya Zoni ya Kaskazini Pemba

Anuani: Wete, Mtaa wa Bomani (Tuko jengo moja na PBZ)

Simu: +255 24 24 54175 

Ofisi ya Zoni ya Kusini Pemba

Anuani: Mkoani

Simu: +255 24 24 56250