Wananchi wa kijiji cha Kidagoni wametakiwa kufuata utaratibu wa kujiungia umeme kupitia vituo vya Shirika la Umeme badala ya kuwatumia watu katika kujipatia huduma ya umeme.

ZECO yakusudia kutanua huduma zake mikoani

SHIRIKA la Umeme Zanzibar (ZECO) linakusudia kuimarisha huduma zake katika vituo vya mikoani ili kuwarahisishia wananchi kupata huduma zake.

Nishati mbadala yatajwa kuwa chachu ya kuongeza mapato Zanzibar

KATIKA utaratibu wake wa kukutana na wafanyakazi Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) imefanya mkutano

ZECO yakabidhi msaada wa kompyuta

SHIRIKA la Umeme Zanzibar (ZECO) limetoa msaada wa kompyuta moja kwa kituo cha Polisi Makadara kilichopo Mkoa Mjini Magharibi Unguja katika kusaidia ufanisi wa kazi zao na kujenga mahusiano

ZECO YAFANIKISHA ILANI YA CCM

NA HUSNA MOHAMMED

NI miaka tisa sasa imetimia Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwa chini ya uongozi wa Rais Dk, Ali Mohammed Shein tangu kuingia madarakani. Katika kipindi chake cha uongozi Rais Shein