TAARIFA KWA UMMA

25-04-2019 Hits:19 outages  - avatar

  Shirika la Umeme Zanzibar katika hatua ya kuimarisha utendaji kazi wa miundombinu yake ya kusambaza umeme inatarajia kufanya matengenezo  ya Transfoma zake mbili kubwa ziliopo katika kituo cha Umeme Mtoni...

Read more

Uzinduzi wa bodi mpya ya wakurugenzi ya …

05-06-2019 Hits:0 outages Super User - avatar Super User

Waziri wa Ardhi,maji,nishati na mazingira wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Mh.Salama Aboud Twalib leo tarehe 27/05/2019 amezindua bodi mpya ya wakurugenzi wa shirika la umeme Zanzibar. Hafla hio imefanyika katika...

Read more

EID MUBARAK

05-06-2019 Hits:0 outages Super User - avatar Super User

Bodi ya wakurugenzi ya shirika la umeme Zanzibar pamoja na wafanya kazi ,inawatakia waislam wote na Watanzania kwa ujumla heri ya sikukuu ya Eid-el-fitry

Read more

Maendeleo ya sekta ya umeme Zanzibar yalianza kuimarika mnamo karne ya 20. Majenereta ya mwanzo yaliyokuwa yakizalisha umeme kwa kutumia makaa ya mawe yaliwekwa katika kisiwa cha Unguja mnamo mwaka wa 1908. Majenereta hayo yalifikia ukomo wa matumizi mwaka 1954 ambapo majenereta yaliyokuwa yakitumia mafuta mazito (diesel) yalifungwa na kutumika hadi mwaka 1980. Katika mwaka huo wa 1980 kisiwa cha Unguja kiliunganishwa na Gridi ya Taifa kupitia mkondo wa umeme wa 132kV kwa kutumia waya wa chini ya bahari wenye uwezo wa kuchukua megawati 45MW. Kutokana na uchakavu wa waya huo, mnamo miaka ya 2013 waya mwengine mpya wa chini ya bahari uliwekwa wenye uwezo wa kuchukua megawati 100MW kupitia mkondo wa umeme wa 132kV ambao unatumika hivi sasa.