Shirika La Umeme Zanzibar (ZECO) linapenda kuwajuilisha wateja wake kuwa kutokana na nchi kukabiliwa na uchaguzi mkuu imefanya mabadiliko ya muda wa kuuza umeme kuanzia leo tarehe 27 Oktoba, 2020 hadi hapo Shirika litakapotoa taarifa nyengine.

Kupata taarifa kamili tafadhali bonyeza hapa