MAPENDEKEZO YA UTAFITI WA HUDUMA KWA WATEJA SHIRIKA LA UMEME ZANZIBAR KWA MWAKA 2020 - 2021

Shirika la umeme Zanzibar linafanya utafiti wa huduma inazozitoa kwa watumiaji wa umeme. Lengo la utafiti huu ni kutambua namna wateja na watumiaji wa umeme jinsi wanavyoziona huduma za umeme, kasoro zilizopo na maeneo ya kutilia mkazo ili kuweza kutoa huduma zenye kuridhisha.

Ukiwa ni mtumiaji wa umeme unaombwa kujaza taarifa zilizosahihi na za uhakika ili kusaidia Shirika na Serikali katika upangaji wa mipango yake.

Vile vile, taarifa hizi ni siri baina ya mjazaji wa dodoso hili na Shirika la Umeme Zanzibar na itabakia kuwa ni mali ya Shirika la Umeme Zanzibar.

Tafadhali bonyeza hapa kupakua fomu ya utafiti