Mh. Salama Aboud Talib (Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji, na Nishati wa Serikal iya Mapinduzi ya Zanzibar)  akizindua bodi mpya ya wakurugenzi wa shirika la Umeme Zanzibar

leo tarehe 27/05/2019 amezindua bodi mpya ya wakurugenzi wa shirika la umeme Zanzibar.

Hafla hio imefanyika katika ukumbi wa bodi ofisi kuu ya shirika la umeme hapa mjini Zanzibar.

Muheshimiwa Salama ameitaka bodi hiyo kufanya kazi kwa ueledi mkubwa katika kuushauri uongozi wa shirika la umeme.