Mh. Salama Aboud Talib (Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji, na Nishati wa Serikal iya Mapinduzi ya Zanzibar)  akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Zanzibar

Waliosimama kutoka kulia mstari wa mbele ni Bw. Shafi Mussa Haji (Mwenyekiti wa Bodi), Mhe. Salama Aboud Talib, Bw. Ali Khalil Mirza (Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati), na Bw. Hassan Ali Mbarouk (Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar). Waliosimama kutoka kulia mstari wa nyuma ni Nd. Abbas Juma Fakih (Katibu wa Bodi), Bi Tunu Juma Kondo (Mjumbe wa Bodi), Bw. Tahir M. K. Abdullah (Mjumbe wa Bodi) na Bw. Ahmed Shehe Saleh (Mjumbe wa Bodi).